Mageuzi Sekta ya maji yawavutia waNigeria.
Timu ya wataalamu wa sekta ya maji kutoka Nigeria imewasili nchini Tanzania kwa lengo la kubadilishana uzoefu kuhusiana na utekelezaji, usimamizi na uendelezaji wa sekta ya maji.
Timu hii ya watu 18 imekuja kufuatia mafanikio
makubwa ya mageuzi katika sekta ya maji yaliyofanywa na serikali ya awamu ya
Sita nchini Tanzania na kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi bora Duniani katika utekelezaji wa program mbalimbali za
sekta ya maji.

Comments
Post a Comment