Ujenzi wa Mabwawa kusaidia kuondoa changamoto ya maji Dodoma
Wajumbe wa Bodi ya Maji ya Taifa wakiwa katika eneo la mradi wa maji Manda Video ya tukio Bofya HAPA Mkandarasi akiendelea na ujenzi wa Bwawa la Maji Mtamba Mkuu wa Kitengo cha Usalama wa Mabwawa, Idara ya Rasilimali za Maji, Domina Makene akitoa maelezo ya mradi wa maji Manda Mhandisi Geofrey Semkonda wa Bodi ya Maji Bonde la Rufiji akiwapitisha wajumbe wa Bodi ya Maji Ya Taifa kwenye mchoro wa ramani ya Bwawa la maji Mtamba. Bodi ya Taifa ya Maji imefanya ziara ya kutembelea miradi ya ujenzi wa bwawa la maji la Mtamba Wilayani Mpwapwa na Bwawa la Manda wilayani Chamwino mkoani Dodoma ambayo kwa pamoja yanayotarajia kugharimu shilingi Bilioni 1.3. Mabwawa haya yanajengwa na Bodi ya Maji ya Bonde la Rufiji na yanatarajia kutumika katika shughuli za kibinadamu ikiwemo kilimo cha umwagiliaji, mifugo na matumizi ya kawaida ya binadamu. Akizungumza wakati wa ziara hiyo Mwenyekiti wa Bodi hiyo Mhandisi Mbogo Futakamba, amesema mabadiliko ya tabia nchi yameathili sehemu mbal...
Comments
Post a Comment